ZIARA YA WAZIRI MKUU WA THAILAND NCHINI

 Waziri Mkuu wa Thailand, Yingluck Shinawatra akikagua gwaride lililoandaliwa kwa ajili yake, akiongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davies Mwamunyange (kushoto), alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo.PICHA NA KASSIM MBAROUK)
JK akiongoza na mgeni wake baada ya kumlaki
Waziri Mkuu wa Thailand na Rais Jakaya Kikwete wakiangalia ngoma za utamaduni
Akina mama wakiwa wamejipanga huku wakiwa na bendera za taifa za Tanzania na Thailand wakati wa mapokezi Ikulu, Dar es Salaam.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA
JK akiwa na mgeni wake, Waziri Mkuu wa Thailand wakiingia Ikulu
JK wa pili kulia akiwa na ujumbe wake katika mkutano na Waziri Mkuu wa Thailand na ujumbe wake Ikulu, Dar es Salaam

Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi 9kulia) akibadilishana hati na Mkurugenzi wa Taasisi ya Madini ya Thailand, baada ya kutiliana mkataba wa makubaliao ya ushirikiano katika masuala ya ufundi katika sekta ya madini.
JK akimtambulisha mgeni kwa maofisa wa Ulinzi na Ulasma nchini.
JkK akitambulishwa ka Waziri Mkuu wa Thailand kwa maofisa wa nchi yake

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MWANAMKE ALIYEVUNJA REKODI KWA KUZAA WATOTO 69

BODI YA LIGI YAKIRI MAKOSA, WAIOMBA YANGA WAYAMALIZE

#MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA MJI WA KIHISTORIA WA MOSHI MKOANI KILIMANJARO

HUU NDIO UKWELI ULIVYO RAFIKI YANGU

BODI YA LIGI SASA WAOMBA HEKIMA NA BUSARA ITUMIKE DERBY YA YANGA, SIMBA

RATIBA KAMILI YA HARUSI YA DIAMOND, ZUCHU

ZIJUE TABIA 9 ZA WANAWAKE HAWA....

TANZANIA NI MIONGONI MWA NCHI 10 ZINAZOONGOZA KWA MAZAO YA KILIMO AFRIKA